NIAMBIE歌詞

作詞 : Khalid Mwarami Mtumbuka
作曲 : Kennedy Joseph Raphael
Niambie *3
Baby oohh Sikia
My dear Nakuambia
Leo narudia
Kukupenda nakupenda
Pia huenda wanipenda
Yani sawa nimekubali
Kwa yote kheri nitasubiri
Oohh Baby Ooh
Natamani kusema nooo
Wataka kunitoa rohooo
Najikaza kikomandoo
Oooh
ooh dada Amina
Dada Amina oooh
Amina we ndo roho yangu
Amina
mengi nayasikia Amina
nashindwa kusema
Amina kila aina ya bwana Aminaa
unanichanganya
Na wengine ndugu zangu
Halafu yule paha wangu
Halafuu ooh dear
nakupenda pia woooh dear
nimekuridhia Aminaaa
Walisema kizuri ndo chenye dosari
leo nakubali
kwako sina hali
nakupenda kweli
Ila niambie
Ooohh niambie
Amina vile umenimiss niambie
Hivi unanipenda kweli niambie
Au sikufikishi safari niambie
Au bado unatafakari Aminaaa
Niambie ooohhh
Aawee midfielder ndemla
Yoo ajibu ajibu na Ibrahimn ajibu
Eyoo keni
Mbwa mwitu OG G
Aweee Hasan dilunga HD D
Awe mwanangu shebelaa chilo
Awe simedo mwaidola chilo man chilo man
Awee cambiaso
Kuna mwanangu chizi kichizi venja chizii

NIAMBIELRC歌詞

NIAMBIE歌詞Meja KuntaNIAMBIELRC歌詞添加中
  • 歌詞名:NIAMBIE
  • 歌手名:Meja Kunta
  • 更新時間:2023-12-21
  • 作詞人:
  • 評分:0.0分

NIAMBIE歌詞,NIAMBIELRC歌詞

歌曲名:NIAMBIE  歌手:Meja Kunta  所屬專輯:《Meja Power》

作詞:  作曲:  發(fā)行公司:未知  發(fā)行時間:2023-12-21

歌曲ID:3153233  分類:Meja Power  語言:  大?。?.42 MB  時長:03:44秒  比特率:129K  評分:0.0分

介紹:《NIAMBIE》 是 Meja Kunta 演唱的歌曲,時長03分44秒,由作詞,作曲,該歌曲收錄在Meja Kunta2023年的專輯《Meja Power》之中,如果您覺得好聽的話,就把這首歌分享給您的朋友共同聆聽,一起支持歌手Meja Kunta吧!

◆ 本頁是Meja PowerNIAMBIEMeja PowerLRC歌詞下載頁面,如果您想下載NIAMBIEmp3,那么就點擊  NIAMBIEMp3免費(fèi)下載

◆ 如果你想在線試聽這首歌曲就點擊  NIAMBIE在線試聽

◆ 如果你想了解更多歌手Meja Kunta的信息就點擊  Meja Kunta的所有歌曲  Meja Kunta的專輯  Meja Kunta的詳細(xì)資料  Meja Kunta的圖片大全

◆ NIAMBIE的永久試聽地址是//ndqjthg.cn/play/3153233.htm,請將九酷音樂網(wǎng)(ndqjthg.cn)告訴您的3個朋友,感謝您對九酷音樂網(wǎng)支持!

Copyright @2023 - 2024 ndqjthg.cn.All Rights Reserved.九酷音樂網(wǎng) 版權(quán)所有  備案號:黑ICP備2023008593號-1